• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

  • Home
  • About Us
    • History
      • Origin
      • Coverage area
      • Responsible people
      • climate condition
      • Economic activities
      • List of leaders
    • Mission and Vision
    • Strategies
    • Core values
  • Adminstration
    • Organisation Structure
    • Departments
      • Administration and Human Resources
      • Solid Waste and Environmental Management
      • Finance and Trade
      • Planning, Statistics and Monitoring
      • Community Development, Gender and Youth
      • Secondary Education
      • Primary Education
      • Agriculture, Irrigation and Co-operative
      • Health
      • Water
      • Land and Natural Resources
      • Liverstock and Fisheries
      • Works
    • Units
      • Information and Communication Technology
      • Election
      • Internal Audit
      • Beekeeping
      • Procurement and Supplies
  • Investment Opportunities
    • Livestock keeping
    • Agriculture
    • Tourism attraction
  • Our Services
    • Water
    • Healthy
    • Education
    • Fisheries
    • Livestock
  • Madiwani
    • Councillors List
    • Standing Committee
    • Timetable
  • Projects
    • Completed projects
    • Continous Projects
    • Planned Projects
  • Publications
    • Acts
    • customer service Contract
    • Strategic Plan
    • Reports
    • Different forms
    • guideliness
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery

FURSA YA KILIMO CHA UMWAGILIAJI

 MRADI WA UMWAGILIAJI NYAMGOGWA

Mradi wa umwagiliaji Nyamgogwa upo katika kijiji cha Nyamgogwa, Kata ya Shabaka ,Tarafa ya Nyang’nghwale Wilaya ya Nyang’hwale ,Mkoa wa Geita.

Chanzo cha maji katika mradi huu ni maji ya mto wa msimu ambayo yanategemewa kuhifadhiwa katika bwawa.

Kwa sasa ni takribani hekari 45 zinazolimwa na wakulima kwa kutegemea mvua.

2.1 MRADI ULIPO

Kwa kutumia GPS coordinates mradi unapatikana  kwa  36m UTM Easting 434815 and Northing 9674365, with an elevation of 1221.69 m ASL.

2.2 VIPENGELE VYA MIUNDOMBINU MASHAMBANI

Mfereji Mkuu -Main Canal         –3066.4m (Lined)

Mifereji Midogo-Tertiary canals  –2975.29m (Unlined)

Mifereji ya kutolea maji- drain    -       4161.19m (Unlined)

Vipunguza maji kasi(Drop Structures)-  11

Vigawa maji (Division Boxes)-10

Kalavati(Culverts  of 45 diameter) -24m

Hata hivyo eneo hili linamilikiwa na serikali ambapo, mwekezaji anaweza kupata eneo hili kwa luendeleza Kilimo cha Mpunga.

2.3 FAIDA ZA KUWEKEZA

Endapo eneo hili litaendelezwa kwa kilimo hicho basi kutakuwa na faida zifuatazo:-

  1. Halmashauri itaweza kuongeza mapato na kuweza kutoa huduma mbalimbali.
  2. Uendelezaji wa kilimo hiki kutasaidia kutoa ajira kwa wakazi katika Halmashauri
  3. Pia itaongeza thamani ya kilimo cha mpunga
  4. Itaboresha miundombinu mbalimbali ikiwemo Barbara, maji na huduma za jamiI

Eneo la Umwagiliaji Nyamgogwa


Announcements

  • MAPOKEZI YA FEDHA KIASI CHA TSHS 82,298,036.25 YA AWAMU YA KWANZA KWA AJILI YA UJENZI WA KITUO CHA UWEZESHAJI WANANCHI KIUCHUMI August 28, 2023
  • TANGAZO LA USAFI WA MAZINGIRA WA KILA JUMAMOSI YA MWISHO WA MWEZI August 22, 2023
  • TANGAZO LA NAFASI 29 ZA KUKUSANYA MAPATO KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA NYANG'HWALE August 17, 2023
  • TANGAZO LA KAZI KWA MAFUNDI UJENZI August 07, 2023
  • View All

Latest News

  • MAONESHO YA TEKNOLOJIA YA MADINI YAFUNGULIWA RASMI GEITA

    September 23, 2023
  • UJENZI WA CHUO CHA VETA KUFUNGUA FURSA KWA VIJANA

    September 20, 2023
  • KAMATI YA SIASA WILAYA YASHAURI WATAALAMU KUONGEZA KASI YA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA MAENDELEO

    September 18, 2023
  • MAADHIMISHO YA SIKU YA USAFI DUNIANI YAFANA NYANG’HWALE

    September 16, 2023
  • View All

Video

Ligi daraja la tatu
More Videos

Quick Links

  • Watumishi portal
  • Mwongozo wa matumizi ya TEHAMA serikalini
  • Maombi ya biashara
  • Fomu mbalimbali

Related Links

  • Tovuti ya Ikulu
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Tamisemi

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

    Barabara ya Halmashauri

    Postal Address: 352-Nyang'hwale

    Telephone: +255 28252061

    Mobile: +255 .....

    Email: ded@nyanghwaledc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

https://freehitcounters.org

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

copyright@2017 Halmashauri ya wilaya Nyanghwale.All right reserved