• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

  • Home
  • About Us
    • History
      • Origin
      • Coverage area
      • Responsible people
      • climate condition
      • Economic activities
      • List of leaders
    • Mission and Vision
    • Strategies
    • Core values
  • Adminstration
    • Organisation Structure
    • Departments
      • Administration and Human Resources
      • Solid Waste and Environmental Management
      • Finance and Trade
      • Planning, Statistics and Monitoring
      • Community Development, Gender and Youth
      • Secondary Education
      • Primary Education
      • Agriculture, Irrigation and Co-operative
      • Health
      • Water
      • Land and Natural Resources
      • Liverstock and Fisheries
      • Works
    • Units
      • Information and Communication Technology
      • Election
      • Internal Audit
      • Beekeeping
      • Procurement and Supplies
  • Investment Opportunities
    • Livestock keeping
    • Agriculture
    • Tourism attraction
  • Our Services
    • Water
    • Healthy
    • Education
    • Fisheries
    • Livestock
  • Madiwani
    • Councillors List
    • Standing Committee
    • Timetable
  • Projects
    • Completed projects
    • Continous Projects
    • Planned Projects
  • Publications
    • Acts
    • customer service Contract
    • Strategic Plan
    • Reports
    • Different forms
    • guideliness
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery

TANGAZO LA USAFI WA MAZINGIRA ,JUMAMOSI YA MWISHO WA MWEZI JANUARY 2023

26 January 2023

MKURUGENZI MTENDAJI WA WILAYA YA NYANG'HWALE ANAWATANGAZIA WANANCHI NA WAKAZI WOTE WA WILAYA YA NYANG'HWALE KUFANYA USAFI WA MAZINGIRA SEHEMU ZA MAKAZI NA BIASHARA JUMAMOSI YA MWISHO WA MWEZI JANUARI TAREHE 28/01/2023 KUANZIA SAA 1.30 ASUBUHI HADI SAA 3.30 ASUBUHI.

  • TAKA ZOTE ZIKUSANYWE NA KUCHOMWA MOTO AU KUFUKIWA.
  • NYASI KATIKA MAENEO YA MAKAZI ZIFYEKWE AU KUSESWA.
  • VIWANJA NA MAPAGALA AMBAYO HAYAJAENDELEZWA YA SAFISHWE.
  • VYOO BORA VIJENGWE NA VITUMIKE VIZURI.
  • VYANZO WA MAJI VISAFISHWE, VITUNZWE NA VILINDWE.

USAFI WA MAZINGIRA KIWILAYA UTAFANYIKA KATIKA KATA YA NYABULANDA - NYASHILANGA

SHUGHULI ZOTE ZA BIASHARA ZIFUNGWE HADI SAA 3.30 ILI KUTOA MWANYA KWA WATU KUFANYA USAFI WA MAZINGIRA.

FAINI YA PAPO HAPO YA SH. 50,000/= KWA YEYOTE AMBAYE HATAZINGATIA AGIZO HILL NA ATAKAYEKUTWA AKIISHI KATIKA MAZINGIRA MACHAFU. 

Bonyeza hapa kupakua na kusoma Tangazo hili .-------->>>>>>>>>Usafi January.pdf

Announcements

  • TANGAZO LA KAZI YA UFUNDI WA UJENZI WA UZIO WA KARAKANA YA HALMASHAURI YA WILAYA YA NYANG'HWALE. March 16, 2023
  • TANGAZO LA UNUNUZI WA FUNDI MKUU KWA AJILI YA UKAMILISHAJI WA JENGO LA MAKAO MAKUU YA HALMASHAURI March 14, 2023
  • TANGAZO LA KAZI YA UJENZI WA STENDI KUU YA MABASI ENEO LA IKANGALA KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA NYANG'HWALE March 14, 2023
  • MATOKEO KIDATO CHA NNE - 2022 YAMETANGAZWA NA NECTA January 29, 2023
  • View All

Latest News

  • KIKAO MAALUM CHA KAMATI YA FEDHA, UTAWALA NA MIPANGO CHARIDHIA KUBADILI MFUMO WA UJENZI JENGO LA HALMASHAURI - NYANG'HWALE

    February 25, 2023
  • MKUTANO WA PILI WA BARAZA LA MADIWANI KWA KIPINDI CHA ROBO YA PILI YA MWAKA WA FEDHA 2022/2023.

    February 24, 2023
  • DC GRACE KINGALAME AGAWA WA PIKIPIKI ZA SERIKALI KWA MAAFISA WATENDAJI WA KATA

    February 23, 2023
  • DC GRACE KINGALAME AKABIDHIWA OFISI

    January 31, 2023
  • View All

Video

Ligi daraja la tatu
More Videos

Quick Links

  • Watumishi portal
  • Mwongozo wa matumizi ya TEHAMA serikalini
  • Maombi ya biashara
  • Fomu mbalimbali

Related Links

  • Tovuti ya Ikulu
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Tamisemi

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

    Barabara ya Halmashauri

    Postal Address: 352-Nyang'hwale

    Telephone: +255 28252061

    Mobile: +255 .....

    Email: ded@nyanghwaledc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

https://freehitcounters.org

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

copyright@2017 Halmashauri ya wilaya Nyanghwale.All right reserved