• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

  • Home
  • About Us
    • History
      • Origin
      • Coverage area
      • Responsible people
      • climate condition
      • Economic activities
      • List of leaders
    • Mission and Vision
    • Strategies
    • Core values
  • Adminstration
    • Organisation Structure
    • Departments
      • Administration and Human Resources
      • Solid Waste and Environmental Management
      • Finance and Trade
      • Planning, Statistics and Monitoring
      • Community Development, Gender and Youth
      • Secondary Education
      • Primary Education
      • Agriculture, Irrigation and Co-operative
      • Health
      • Water
      • Land and Natural Resources
      • Liverstock and Fisheries
      • Works
    • Units
      • Information and Communication Technology
      • Election
      • Internal Audit
      • Beekeeping
      • Procurement and Supplies
  • Investment Opportunities
    • Livestock keeping
    • Agriculture
    • Tourism attraction
  • Our Services
    • Water
    • Healthy
    • Education
    • Fisheries
    • Livestock
  • Madiwani
    • Councillors List
    • Standing Committee
    • Timetable
  • Projects
    • Completed projects
    • Continous Projects
    • Planned Projects
  • Publications
    • Acts
    • customer service Contract
    • Strategic Plan
    • Reports
    • Different forms
    • guideliness
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery

Continous Projects

Na.
JINA LA MRADI
CHANZO CHA FEDHA
1
Ujenzi wa OPD katika Kituo cha Afya Kafita
TASAF

2
Ukamilishaji/Ukarabati wa Chumba 01 cha Darasa katika Shule ya Sekondari Msalala
MAPATO YA NDANI


3
Ujenzi wa bweni la wanafunzi katika shule ya sekondari Nyijundu
TASAF
4
Ujenzi wa nyumba za walimu katika shule ya msingi Wenzura
TASAF
5
Ukamilishaji wa Hospitali ya Wilaya (Jengo la Wanaume, Wanawake, Theatre na Mochwari)
SERIKALI KUU
6
Ukamilishaji wa Vyumba vya Madarasa 02/Matundu ya Vyoo katika Shule ya Sekondari Bukwimba
MAPATO YA NDANI
7
Ujenzi wa Matundu ya Vyoo katika Shule ya Shule ya Msingi Kharumwa (Busengwa)
MAPATO YA NDANI
8
Ukamilishaji wa Ujenzi wa Jengo la Dharura (EMD) katika Hospitali ya Wilaya
UVIKO-19
9
Ukamilishaji wa Zahanati katika Kijiji cha Nundu
SERIKALI KUU
10
Ukamilishaji wa Zahanati katika Kijiji cha Bukulu
SERIKALI KUU
11
Ukamilishaji wa Vyumba vya Madarasa 03 katika Shule ya Sekondari Mpya Kayenze
CSR 2022
12
Ukamilishaji wa Ujenzi wa Nyumba za Wakuu wa Idara na Vitengo
SERIKALI KUU
13
Ukamilishaji wa Kituo cha Afya Nyijundu (Martenity Combined with Theatre na Jengo la Kufulia)
TOZO
14
Ujenzi wa Vyumba 02 vya Madarasa katika Shule ya Msingi Busolwa
LANES II
15
Ujenzi wa kichomea taka katika Zahanati ya Nyamtukuza
CSR 2022
16
Kuwezesha Malipo ya Ajira za Muda kwa Watumishi 12 Sekta ya Afya
CSR 2022
17
Ukamilishaji wa Zahanati ya Nyang'holongo
CSR 2022
18
Kuwezesha kuinua Ufaulu katika Sekta ya Elimu Sekondari
CSR 2022
19
Ujenzi wa Gereji katika Eneo la Makao Makuu ya Wilaya
CSR 2022
20
Ujenzi wa Matundu ya Vyoo katika Shule ya Sekondari Kaboha
MAPATO YA NDANI
21
Ukamilishaji wa Nyumba ya Mtumishi Zahanati Kijiji cha Kitongo
MAPATO YA NDANI
22
Ukamilishaji wa Ujenzi wa Nyumba ya Mkurugenzi Mtendaji
SERIKALI KUU
23
Ukamilishaji wa Ujenzi wa Nyumba ya Walimu katika Shule ya Sekondari Izunya na Nyabulanda
MAPATO YA NDANI
24
Ukamilishaji wa Zahanati 02 katika Kijiji cha Kabiga ( 25,000,000.00) na Ikangala ( 50,000,000.00)
MAPATO YA NDANI
25
Kuwezesha Malipo ya Fidia kwaajili ya Eneo la Uwekezaji
MAPATO YA NDANI
26
Ukamilishaji wa maboma ya Vyumba vya madarasa 05 (Ikangala 01, Kona 01, Kayenze 01, Bukungu 01 na Mwingiro 01)
MAPATO YA NDANI
27
Kuwezesha Shughuli za Lishe katika Ngazi ya Wilaya
MAPATO YA NDANI
28
Ukamilishaji/Ukarabati wa Chumba 01 cha Darasa katika Shule mpya ya Sekondari Nyabulanda
MAPATO YA NDANI
29
Usimamizi na Ufuatiliaji wa Miradi ya TASAF
TASAF
30
Ukamilishaji wa Chumba cha Darasa 01 katika Shule ya Msingi Kayenze
MAPATO YA NDANI
31
Ujenzi wa Matundu ya Vyoo katika Shule ya Sekondari Kafita
MAPATO YA NDANI
32
Elimu bila Malipo kwa shule za Msingi
SERIKALI KUU
33
Uhawilishaji katika Kaya Maskini sana
TASAF
34
Ukamilishaji wa Ujenzi wa Zahanati katika Kijiji cha Kasubuya, Kata ya Bukwimba
MAPATO YA NDANI
35
Elimu bila Malipo kwa shule za Sekondari
SERIKALI KUU
36
Ukamilishaji wa Miundombinu ya Mnada wa Mifugo wa Busolwa na Josho la Mifugo katika Kijiji cha Kayenze
MAPATO YA NDANI
37
Uendeshaji wa Zoezi la Sensa ya Watu na Makazi, na Maandalizi ya LAAC
MAPATO YA NDANI
38
Ukamilishaji/Ukarabati wa Miundombinu mbalimbali Ngazi ya Wilaya
MAPATO YA NDANI
39
Ujenzi wa Ofisi katika Kata ya Nundu
MAPATO YA NDANI
40
Utoaji wa Mikopo kwa Vikundi vya Wanawake
MAPATO YA NDANI
41
Utoaji wa Mikopo kwa Vikundi vya Vijana
MAPATO YA NDANI
42
Utoaji wa Mikopo kwa Vikundi vya Walemavu
MAPATO YA NDANI
43
Ukamilishaji wa Chumba cha Darasa 01 katika Shule ya Msingi Mwamakiliga
MAPATO YA NDANI
44
Ukamilishaji wa Chumba cha Darasa 01 katika Shule ya Msingi Kona
MAPATO YA NDANI
45
Ukamilishaji wa Chumba cha Darasa 01 katika Shule ya Msingi Nyijundu
MAPATO YA NDANI
46
Ukarabati wa madarasa ya UVIKO-19 kwa shule za Msingi na Sekondari
MAPATO YA NDANI
47
Ujenzi wa Matundu ya Vyoo katika Shule ya Msingi Kharumwa
MAPATO YA NDANI
48
Kuwezesha Zoezi la Fursa na Vikwazo, Maandalizi ya Bajeti 2023/2024, Ufuatiliaji wa Miradi ya Maendeleo, Ukusanyaji wa Takwimu na Maandalizi ya Mpango Mkakati wa Miaka 05 wa Wilaya ifikapo Juni 2023
MAPATO YA NDANI

Announcements

  • TANGAZO LA KAZI YA UFUNDI WA UJENZI WA UZIO WA KARAKANA YA HALMASHAURI YA WILAYA YA NYANG'HWALE. March 16, 2023
  • TANGAZO LA UNUNUZI WA FUNDI MKUU KWA AJILI YA UKAMILISHAJI WA JENGO LA MAKAO MAKUU YA HALMASHAURI March 14, 2023
  • TANGAZO LA KAZI YA UJENZI WA STENDI KUU YA MABASI ENEO LA IKANGALA KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA NYANG'HWALE March 14, 2023
  • MATOKEO KIDATO CHA NNE - 2022 YAMETANGAZWA NA NECTA January 29, 2023
  • View All

Latest News

  • KIKAO MAALUM CHA KAMATI YA FEDHA, UTAWALA NA MIPANGO CHARIDHIA KUBADILI MFUMO WA UJENZI JENGO LA HALMASHAURI - NYANG'HWALE

    February 25, 2023
  • MKUTANO WA PILI WA BARAZA LA MADIWANI KWA KIPINDI CHA ROBO YA PILI YA MWAKA WA FEDHA 2022/2023.

    February 24, 2023
  • DC GRACE KINGALAME AGAWA WA PIKIPIKI ZA SERIKALI KWA MAAFISA WATENDAJI WA KATA

    February 23, 2023
  • DC GRACE KINGALAME AKABIDHIWA OFISI

    January 31, 2023
  • View All

Video

Ligi daraja la tatu
More Videos

Quick Links

  • Watumishi portal
  • Mwongozo wa matumizi ya TEHAMA serikalini
  • Maombi ya biashara
  • Fomu mbalimbali

Related Links

  • Tovuti ya Ikulu
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Tamisemi

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

    Barabara ya Halmashauri

    Postal Address: 352-Nyang'hwale

    Telephone: +255 28252061

    Mobile: +255 .....

    Email: ded@nyanghwaledc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

https://freehitcounters.org

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

copyright@2017 Halmashauri ya wilaya Nyanghwale.All right reserved