• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

  • Home
  • About Us
    • History
      • Origin
      • Coverage area
      • Responsible people
      • climate condition
      • Economic activities
      • List of leaders
    • Mission and Vision
    • Strategies
    • Core values
  • Adminstration
    • Organisation Structure
    • Departments
      • Administration and Human Resources
      • Solid Waste and Environmental Management
      • Finance and Trade
      • Planning, Statistics and Monitoring
      • Community Development, Gender and Youth
      • Secondary Education
      • Primary Education
      • Agriculture, Irrigation and Co-operative
      • Health
      • Water
      • Land and Natural Resources
      • Liverstock and Fisheries
      • Works
    • Units
      • Information and Communication Technology
      • Election
      • Internal Audit
      • Beekeeping
      • Procurement and Supplies
  • Investment Opportunities
    • Livestock keeping
    • Agriculture
    • Tourism attraction
  • Our Services
    • Water
    • Healthy
    • Education
    • Fisheries
    • Livestock
  • Madiwani
    • Councillors List
    • Standing Committee
    • Timetable
  • Projects
    • Completed projects
    • Continous Projects
    • Planned Projects
  • Publications
    • Acts
    • customer service Contract
    • Strategic Plan
    • Reports
    • Different forms
    • guideliness
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery

HALMASHAURI YA WILAYA YA NYANG’HWALE YAGAWA PIKIPIKI KWA WATENDAJI WA KATA.

Posted on: November 17th, 2022

Ili kukabiliana na uhaba wa Vyombo vya Usafiri, Halmashauri ya Wilaya ya Nyang’hwale imenunua Vyombo vya Usafiri (Pikipiki) kwa ajili ya Watendaji wa Kata. Ofisi ya Mkurugezi Mtendaji wa Halmashauri imenunua Pikipiki Sita (6) kwa kutumia Mapato ya Ndani (Own Source). Pikipiki hizo zimegawiwa kwa Watendaji wa Kata 6 kati ya Kata 15. Watendaji waliogawiwa Pikipiki hizi ni pamoja na Mtendaji wa Kata ya Nyabulanda, Shabaka, Nyamtukuza, Nundu, Nyang’hwale na Kharumwa.

Akigawa pikipiki hizo, Kaimu Mwenyekiti wa Halmashauri Mhe. Masumbuko P. Kubola Diwani wa Kata ya Nyabulanda alisema lengo la Halmashauri la kununua pikipiki ni kufikia lengo la kukusanya Mapato kwa kiwango kinachotakiwa na kwa haraka. Pia kurahisisha uwajibikaji na utendaji kazi kwa wahusika, kufika eneo la kazi kwa wakati, Kuandaa na kukusanya Taarifa kwa wakati na kuzifikisha Ofisini.

Aidha Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri Ndg. Mwizarubi Edwin Nyaindi alisisitiza Pikipiki hizi zinatakiwa Kuendeshwa kwa Kuzingazia Sheria, Taratibu na Kanuni za Uendeshaji wa Vyombo vya Moto. Sambamba na hili alisema Ofisi yake imeandaa Mafunzo kwa Watumishi wote ambayo yatatolewa kuanzia tarehe 18/11/2022 muda wa jioni katika Ukumbi wa Halmashauri. Haitaruhusiwa kwa Mtendaji yoyote kuendesha Vyombo hivyo pasipokuwa na leseni ya udereva.

Announcements

  • MATOKEO KIDATO CHA NNE - 2022 YAMETANGAZWA NA NECTA January 29, 2023
  • TANGAZO LA UUZAJI WA VIWANJA - IKANGALA, KHARUMWA January 26, 2023
  • TANGAZO LA USAFI WA MAZINGIRA ,JUMAMOSI YA MWISHO WA MWEZI JANUARY 2023 January 26, 2023
  • TANGAZO LA MICHEZO SIKU YA JUMAMOSI TAREHE 21/01/2023 January 18, 2023
  • View All

Latest News

  • DC GRACE KINGALAME AKABIDHIWA OFISI

    January 31, 2023
  • KAMATI YA SIASA MKOA WA GEITA YARIDHISHWA NA UTEKELEZJI WA MIRADI NYANG’HWALE

    January 29, 2023
  • UTIAJI SAINI MKATABA WA UTEKELEZAJI WA MIRADI (MoU) YA CSR

    January 27, 2023
  • BARAZA LA MADIWANI NYANG’HWALE LABITISHA BAJETI YA BIL 31.0 KWA MWAKA 2023/24

    January 25, 2023
  • View All

Video

Ligi daraja la tatu
More Videos

Quick Links

  • Watumishi portal
  • Mwongozo wa matumizi ya TEHAMA serikalini
  • Maombi ya biashara
  • Fomu mbalimbali

Related Links

  • Tovuti ya Ikulu
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Tamisemi

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

    Barabara ya Halmashauri

    Postal Address: 352-Nyang'hwale

    Telephone: +255 28252061

    Mobile: +255 .....

    Email: ded@nyanghwaledc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

https://freehitcounters.org

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

copyright@2017 Halmashauri ya wilaya Nyanghwale.All right reserved