• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

  • Home
  • About Us
    • History
      • Origin
      • Coverage area
      • Responsible people
      • climate condition
      • Economic activities
      • List of leaders
    • Mission and Vision
    • Strategies
    • Core values
  • Adminstration
    • Organisation Structure
    • Departments
      • Administration and Human Resources
      • Solid Waste and Environmental Management
      • Finance and Trade
      • Planning, Statistics and Monitoring
      • Community Development, Gender and Youth
      • Secondary Education
      • Primary Education
      • Agriculture, Irrigation and Co-operative
      • Health
      • Water
      • Land and Natural Resources
      • Liverstock and Fisheries
      • Works
    • Units
      • Information and Communication Technology
      • Election
      • Internal Audit
      • Beekeeping
      • Procurement and Supplies
  • Investment Opportunities
    • Livestock keeping
    • Agriculture
    • Tourism attraction
  • Our Services
    • Water
    • Healthy
    • Education
    • Fisheries
    • Livestock
  • Madiwani
    • Councillors List
    • Standing Committee
    • Timetable
  • Projects
    • Completed projects
    • Continous Projects
    • Planned Projects
  • Publications
    • Acts
    • customer service Contract
    • Strategic Plan
    • Reports
    • Different forms
    • guideliness
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery

SHIRIKISHO LA UMOJA WA MACHINGA (SHIUMA) NYANG’HWALE LAFANYA UCHAGUZI WA VIONGOZI

Posted on: March 2nd, 2024

Shirikisho la Umoja wa Machinga (SHIUMA) tawi la Nyang’hwale, Jana Machi 01, 2024 katika ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya ya Nyang’hwale limefanya Uchaguzi wa kuwapata viongozi  watakaoliongoza  Shirikisho hilo.

Uchaguzi huo uliosimamiwa na viongozi wa Shirikisho la Machinga Mkoa wa Geita kwa kushirikiana Idara ya biashara kutoka Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wialaya ya Nyang’hwale, ulilenga kuwapata Viongozi wa nafasi sita.

Nafasi hizo ni pamoja na Mwenyekiti wa shirikisho, Makamu Mwenyekiti, Katibu, Katibu msaidizi, Mhasibu, na Mjumbe.

Matokeo ya uchaguzi huo yalikua kama ifuatavyo; Nafasi ya Mwenyekiti ilikwenda kwa Doricas Hussein, Makamu Mwenyekiti - Abdallah Butobo Maluka, Katibu - Dalali Mangson Ngatunga, Katibu Msaidizi -Paschal Samuel Kanelezu, Mhasibu - Juma Richard Hussein, na nafasi ya Mjumbe ilikwenda kwa Medard Felician Abdallah.

Mkuu wa Idara ya Biashara, Ndugu, Celestin Mwamba amesema kuwa viongozi hao waliopatikana wana majukumu  ya kufika kwenye Masoko, Vijiji na Kata zote 15 za Wilaya ya Nyang’hwale kuwaelimisha amachinga kuhusu umuhimu wa kujiunga na Shirikisho hilo.

Aidha viongozi hao wana wajibu wa kuandaa kanzi data ya Wamachinga wa Wilaya ya Nyang’hwale, kuwahamasisha kujiunga na fursa zinazojitokeza,na umuhimu wa kuwa na Namba ya Kitambulisho cha Taifa (NIDA)  kitakachomwezesha  kupata Kitambulisho Cha Mjasiriamali.



Announcements

  • TAARIFA YA MAPOKEZI YA FEDHA TSH. 805,623,928 KUTOKA SERIKALI KUU July 14, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI 53 ZA KUKUSANYA MAPATO KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA NYANGH'WALE June 23, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI May 03, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI - KAZI YA MUDA April 27, 2025
  • View All

Latest News

  • WAZAZI NA WALEZI WATAKIWA KULINDA HAKI ZA WATOTO

    June 16, 2025
  • NYANG'HWALE YAPONGEZWA KWA KUPATA HATI SAFI

    June 11, 2025
  • MILIONI 303 ZATOLEWA KWA VIKUNDI 53 VYA VIJANA, WANAWAKE NA WENYE ULEMAVU AWAMU YA PILI

    June 03, 2025
  • NYANG'HWALE YAZINDUA ZOEZI LA CHANJO DHIDI YA KICHAA CHA MBWA

    June 02, 2025
  • View All

Video

TAHADHARI JUU YA MLIPUKO WA UGONJWA WA MPOX
More Videos

Quick Links

  • Watumishi portal
  • Mwongozo wa matumizi ya TEHAMA serikalini
  • Maombi ya biashara
  • Fomu mbalimbali

Related Links

  • Tovuti ya Ikulu
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Tamisemi

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

    Barabara ya Halmashauri

    Postal Address: 352-Nyang'hwale

    Telephone: +255 28252061

    Mobile: +255 .....

    Email: ded@nyanghwaledc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

https://freehitcounters.org

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

copyright@2017 Halmashauri ya wilaya Nyanghwale.All right reserved