• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale
Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale

  • Home
  • About Us
    • History
      • Origin
      • Coverage area
      • Responsible people
      • climate condition
      • Economic activities
      • List of leaders
    • Mission and Vision
    • Strategies
    • Core values
  • Adminstration
    • Organisation Structure
    • Departments
      • Administration and Human Resources
      • Solid Waste and Environmental Management
      • Finance and Trade
      • Planning, Statistics and Monitoring
      • Community Development, Gender and Youth
      • Secondary Education
      • Primary Education
      • Agriculture, Irrigation and Co-operative
      • Health
      • Water
      • Land and Natural Resources
      • Liverstock and Fisheries
      • Works
    • Units
      • Information and Communication Technology
      • Election
      • Internal Audit
      • Beekeeping
      • Procurement and Supplies
  • Investment Opportunities
    • Livestock keeping
    • Agriculture
    • Tourism attraction
  • Our Services
    • Water
    • Healthy
    • Education
    • Fisheries
    • Livestock
  • Madiwani
    • Councillors List
    • Standing Committee
    • Timetable
  • Projects
    • Completed projects
    • Continous Projects
    • Planned Projects
  • Publications
    • Acts
    • customer service Contract
    • Strategic Plan
    • Reports
    • Different forms
    • guideliness
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery

UZINDUZI WA WIKI YA MSAADA WA KISHERIA TAREHE (14-18/11/20222) - NYANG'HWALE

Posted on: November 14th, 2022

Mkuu wa Wilaya ya Nyang’hwale Mh. Jamhuri D. William ameongoza Uzinduzi wa Wiki ya Msaada wa Kisheria. Uzinduzi huo ulifanyika katika Viwanja wa Stendi ya Mabasi Msalala (Soko la Zamani) ukiudhuriwa na Viongozi mbalimbali na wananchi wa Wilaya ya Nyang’hwale. Katika Uzinduzi huo Maada mbalimbali zinazohusu Ukatili katika Jamii ziliwasilishwa na Wataalam. Shirika la NYALAO linalotoa Msaada wa Kisheria kwa makundi mbalimbali katika jamii ya watu wa Wilaya ya Nyang’hwale lilipata nafasi ya kutoa taarifa ya shughuli inazofanya ndani ya Wilaya. Kauli Mbiu ya mwaka huu ni "Ukatili na Udhalilishaji wa Kijinsia ni kikwazo Cha Maendeleo ya Taifa, Wananchi wote tusimame pamoja kuizuia"


Aidha Mkuu wa Wilaya alikumbusha wananchi kuwa Ukatili unatokea ndani ya Jamii yetu na wanajamii kufumbia macho bila kuchukua hatua ya kutoa taarifa kwenye vyombo husika. Sambamba na hilo alikumbushia umuhimu wa Watoto wote kwenda shule akitoa mfano wa hivi karibuni. Alisema hivi karibuni Watoto wetu wa kidato cha pili walifanya Mtihani tulibaini Watoto 191 hawako kwenye vyumba vya madarasa. Tuliamua kuchua hatua ya kuingia Mitaani tukawakuta wengine wameolewa tayari, wengine ni wajawazito wengine wanafanyakazi migodini na wengine wanafanya kazi stendi na wengine wako mashambani. Hii inatukumbusha ukatili bado uko Mitaani maana kumzuia mtoto kwenda shule ni kumfanyia ukatili. Mwisho aliagiza Viongozi wote wa ngazi Kata, Vijiji na Vitongoji kuhakikisha Watoto wanakwenda Shule.

Announcements

  • MATOKEO KIDATO CHA NNE - 2022 YAMETANGAZWA NA NECTA January 29, 2023
  • TANGAZO LA UUZAJI WA VIWANJA - IKANGALA, KHARUMWA January 26, 2023
  • TANGAZO LA USAFI WA MAZINGIRA ,JUMAMOSI YA MWISHO WA MWEZI JANUARY 2023 January 26, 2023
  • TANGAZO LA MICHEZO SIKU YA JUMAMOSI TAREHE 21/01/2023 January 18, 2023
  • View All

Latest News

  • DC GRACE KINGALAME AKABIDHIWA OFISI

    January 31, 2023
  • KAMATI YA SIASA MKOA WA GEITA YARIDHISHWA NA UTEKELEZJI WA MIRADI NYANG’HWALE

    January 29, 2023
  • UTIAJI SAINI MKATABA WA UTEKELEZAJI WA MIRADI (MoU) YA CSR

    January 27, 2023
  • BARAZA LA MADIWANI NYANG’HWALE LABITISHA BAJETI YA BIL 31.0 KWA MWAKA 2023/24

    January 25, 2023
  • View All

Video

Ligi daraja la tatu
More Videos

Quick Links

  • Watumishi portal
  • Mwongozo wa matumizi ya TEHAMA serikalini
  • Maombi ya biashara
  • Fomu mbalimbali

Related Links

  • Tovuti ya Ikulu
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Tamisemi

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

    Barabara ya Halmashauri

    Postal Address: 352-Nyang'hwale

    Telephone: +255 28252061

    Mobile: +255 .....

    Email: ded@nyanghwaledc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

https://freehitcounters.org

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

copyright@2017 Halmashauri ya wilaya Nyanghwale.All right reserved